HabariLeo
KIGOMA: MAMLAKA ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Kigoma Ujiji (KUWASA) imefanya mabadiliko ya gharama ya bei za maji kwa wateja wake. Akitangaza mabadiliko hayo leo Juni 9, Ofisa Mipango na Uchumi wa KUWASA, Naaman Kahoye kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka hiyo, Dk. Christopher Nditi amesema bei za huduma ya maji kwa wateja … The post Gharama za maji Kigoma Ujiji zapanda first appeared on HabariLeo .
Go to News Site