Mwananchi
Zaidi ya waandishi wa habari 30 wa Mkoa wa Lindi wamepata mafunzo ya siku moja yaliyoandaliwa na Wizara ya Katiba na Sheria ya kuwajengea uwezo wa matumizi ya mfumo wa kutoa malalamiko au taarifa katika kituo cha huduma mtandao.
Go to News Site