Collector
Giriş Yap
Polisi Pwani yafafanua uvumi wa miili sita kuonekana Mto Ruvu | Collector
Polisi Pwani yafafanua uvumi wa miili sita kuonekana Mto Ruvu

Polisi Pwani yafafanua uvumi wa miili sita kuonekana Mto Ruvu

Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani limewataka wananchi kupuuza taarifa zinazosambazwa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu madai ya kuokotwa kwa miili ya watu sita katika Mto Ruvu, Wilaya ya Bagamoyo mkoani humo.

Go to News Site