Mwananchi
Wakati msimu wa zao la Ufuta ukianza kwa bei ya Sh2,560, wakulima wilayani Kyela mkoani Mbeya wameonesha furaha yao na kupongeza uwazi wa mfumo wa uuzaji, huku serikali ikitoa mwelekeo wa zao hilo kiuchumi.
Go to News Site