HabariLeo
DAR ES SALAAM: WAZIRI wa Madini, Anthony Mavunde amewataka wanafunzi kutumia maarifa, ujuzi na uzoefu ambapo ukitumika ipasavyo unaweza kuifanya Tanzania ipige hatua kubwa zaidi ya maendeleo kupitia rasilimali zake za madini. Hayo ameyasema leo Juni 9, akiwa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam (UDSM) wakati akifungua maonesho ya 11 ya wiki ya Tafiti na … The post Maarifa yahitajika kuendeleza sekta ya madini first appeared on HabariLeo .
Go to News Site