HabariLeo
IRINGA: SERIKALI imetangaza mkakati mpya wa kitaifa wa kutambua, kusajili na kufuatilia vipaji vinavyoibuliwa kupitia mashindano ya UMITASHUMTA na UMISETA, hatua inayolenga kuhakikisha hakuna kipaji kinachopotea na kwamba vijana wenye uwezo katika michezo na sanaa wanapata nafasi ya kuendelezwa hadi kufikia ngazi za kitaifa na kimataifa. Sambamba na hilo, serikali imeelekeza halmashauri zote nchini kuanzisha … The post Mkakati waiva kukuza vipaji UMITASHUMTA, UMISETA first appeared on HabariLeo .
Go to News Site