HabariLeo
ARUSHA: Mbunifu Mosety Baita kutoka jijini Arusha amebuni mashine maalumu ya kisasa inayolenga kuokoa maisha ya watoto wanaozaliwa kabla ya muda wao (njiti), pamoja na kusaidia huduma za afya kwa mama wajawazito na watoto wachanga. Baita ameonyesha mashine hiyo mbele ya Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa wakati akikagua mabanda ya maonesho kabla ya ufunguzi wa … The post Abuni mashine kuokoa watoto njiti first appeared on HabariLeo .
Go to News Site