Upande wa mashtaka katika kesi ya mauaji inayomkabili mfanyabiashara, Rehema Hassan (42), umedai bado unaendelea na uchunguzi.