Mwananchi
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeahirisha hadi Juni 22, 2026 kesi ya uhujumu uchumi inayowakabili washtakiwa wanane wanaodaiwa kuisababishia Benki ya Equity Tanzania hasara ya zaidi ya Sh5.7 bilioni, baada ya Jamhuri kueleza kuwa bado inahakiki mali zilizowasilishwa na mmoja wa washtakiwa kwa ajili ya makubaliano ya kumaliza kesi.
Go to News Site