Mwananchi
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Adam Malima, ameziagiza halmashauri zote za mkoa huo kuweka utaratibu utakaowasaidia vijana wajasiriamali kusajili bidhaa zao ili ziweze kutambulika kisheria na kupata fursa za masoko ndani na nje ya nchi.
Go to News Site