Collector
Giriş Yap
Mkorea anayedaiwa kukutwa na vipande 504 vya meno, kuendelea kusota rumande | Collector
Mkorea anayedaiwa kukutwa na vipande 504 vya meno, kuendelea kusota rumande

Mkorea anayedaiwa kukutwa na vipande 504 vya meno, kuendelea kusota rumande

Mshtakiwa Un Hyok Ra (37) ambaye ni raia wa Korea Kaskazini anayekabiliwa na mashtaka mawili ya kukutwa na kumiliki vipande 504 vya meno ya tembo vyenye thamani ya Sh6.4 bilioni, ataendelea kusalia rumande hadi Juni 23, 2026 kesi yake itakapotajwa.

Go to News Site