Mwananchi
Wakurugenzi wawili wa Kampuni ya Tuzo Business Group of Company Limited, John Kashiha (40) na Lightness Kashiha (32) wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashtaka matatu likiwemo la wizi wa Sh310 milioni, mali ya Shirika la Posta Tanzania (TPC).
Go to News Site