Mwananchi
Wanafunzi 373 wa Shule ya Msingi Kambi ya Faru, Kata ya Kansay wilayani Karatu, wamenufaika na mradi wa vyoo vya kisasa wenye thamani ya Sh102 milioni uliotekelezwa na Shirika la World Vision Tanzania, kupitia Endabash Area Programme kwa kushirikiana na Halmashauri ya Wilaya ya Karatu.
Go to News Site