Mwananchi
Utekelezaji wa Mpango wa Muda wa Kati wa Benki ya NMB wa mwaka 2021 hadi 2025 umeiwezesha taasisi hiyo kuimarisha nafasi yake katika sekta ya fedha, baada ya kurekodi faida kabla ya kodi ya zaidi ya Sh1 trilioni, kuelekeza zaidi ya Sh28 trilioni katika sekta mbalimbali za uchumi na kuchangia Sh2.7 trilioni kama kodi kwa Serikali.
Go to News Site