Collector
Giriş Yap
Mwongozo mpya kusaidia waishio maeneo ya migodi wazinduliwa | Collector
Mwongozo mpya kusaidia waishio maeneo ya migodi wazinduliwa

Mwongozo mpya kusaidia waishio maeneo ya migodi wazinduliwa

Kutokana na changamoto zinazoendelea kuwakabilia wananchi wanaoishi maeneo ya uchimbaji madini, wadau wa maendeleo, mashirika ya dini na watetezi wa haki za binadamu kutoka Afrika Mashariki na Ukanda wa Maziwa Makuu wamezindua mwongozo maalumu utakaosaidia wananchi hao kupata haki na fidia stahiki.

Go to News Site