Radio Jambo
Kupitia kwa ukurasa wao rasmi wa Instagram Klabu ya Liverpool imethibitisha kuwa Andoni Iraola amekubali mkataba wa kuwa kocha wao mkuu mpya kuanzia msimu wa 2026/27. Iraola alitia Saini mkata wa miaka miwili hadi juni 2028 #KituoChaWakenya #KandanaNiSisi
Go to News Site