WATUMISHI WA TEA WAAGIZWA KUTEKELEZA MAJUKUMU YAO KWA UFANISI. | Collector
WATUMISHI WA TEA WAAGIZWA KUTEKELEZA MAJUKUMU YAO KWA UFANISI.
Jambo TV

WATUMISHI WA TEA WAAGIZWA KUTEKELEZA MAJUKUMU YAO KWA UFANISI.

Na Mwandishi wetu MOROGORO: Watumishi wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) wameagizwa kuongeza ufanisi katika utekelezaji wa majukumu yao kwa kushiriki kikamilifu katika mijadala ya kikazi, kutoa ushauri wenye tija na kuchangia mawazo yatakayochochea maboresho ya utendaji wa taasisi hiyo pamoja na Serikali kwa ujumla. Wito huo unalenga kuimarisha ushirikishwaji, uwajibikaji na […] The post WATUMISHI WA TEA WAAGIZWA KUTEKELEZA MAJUKUMU YAO KWA UFANISI. appeared first on Jambo TV Online .

Go to News Site