COLLECTOR
UNCDF yaunga mkono matumizi nishati safi shuleni | Collector
UNCDF yaunga mkono matumizi nishati safi shuleni
HabariLeo

UNCDF yaunga mkono matumizi nishati safi shuleni

SHIRIKA la Umoja wa Mataifa la Maendeleo na Mitaji (UNCDF) limesema kuwa linaendelea kuunga mkono juhudi za Serikali za kuhakikisha zaidi ya asilimia 80 ya Watanzania wanatumia nishati safi ya kupikia ifikapo mwaka 2030. Mshauri Mkuu wa Kiufundi wa UNCDF, Peter Malika amesema baada ya shirika hilo kutoa majiko ya kisasa katika shule ya Msingi … The post UNCDF yaunga mkono matumizi nishati safi shuleni first appeared on HabariLeo .

Go to News Site