Collector
Kuchanganya bidhaa za urembo na vifaa tiba kunahatarisha afya za watumiaji | Collector
Kuchanganya bidhaa za urembo na vifaa tiba kunahatarisha afya za watumiaji
Swahili Times

Kuchanganya bidhaa za urembo na vifaa tiba kunahatarisha afya za watumiaji

Serikali kupitia Wizara ya Afya na Baraza la Optometria imewataka wafanyabiashara wa bidhaa za urembo kuacha kuchanganya bidhaa hizo na vifaa tiba vya macho ili kulinda afya za watumiaji. Msajili wa Baraza la Optometria, Sebastiano Millanzi, ametoa wito huo Machi 27, 2026 jijini Dar es Salaam wakati akizungumza na waandishi wa habari baada ya Baraza kufanya usimamizi shirikishi katika vituo vya optometria, zoezi lililofanyika kuanzia Machi 24 hadi 27 katika Manispaa za Temeke, Ubungo na Kigamboni. Millanzi amesisitiza kuwa wafanyabiashara hawapaswi kuchanganya bidhaa za urembo kama saa na bidhaa nyingine na vifaa tiba vya optometria kama miwani tiba, fremu za […] The post Kuchanganya bidhaa za urembo na vifaa tiba kunahatarisha afya za watumiaji appeared first on SwahiliTimes .

Go to News Site