Jambo TV
Wajumbe wa Baraza Kuu la Wafanyakazi wa Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) wameshiriki katika semina ya Maadili ya Utumishi wa umma na kukumbushwa kuzingatia misingi na kanuni za maadili ya Utumishi wa umma katika utekelezaji wa majukumu yao. Wito huo umetolewa kwa watumishi hao na Bw. Hamad Bakari, Afisa Maadili Mwandamizi […] The post VETA WAKUMBUSHWA KUTIMIZA MAJUKUMU YAO KWA KUZINGATIA MIONGOZO YA MAADILI YA UTUMISHI WA UMMA appeared first on Jambo TV Online .
Go to News Site