Collector
TET na Jenga Hub waja na ‘Kilimani App’ kwa ajili ya wanafunzi viziwi | Collector
TET na Jenga Hub waja na ‘Kilimani App’ kwa ajili ya wanafunzi viziwi
bongo5.com

TET na Jenga Hub waja na ‘Kilimani App’ kwa ajili ya wanafunzi viziwi

Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) Dkt Aneth Komba amefunga rasmi kikao kazi cha siku tatu cha kuandaa maudhui ya Kuhesabu katika “Kalimani App” kwa kutumia Mtaala ulioboreshwa wa Mwaka 2023 na Kamusi ya Lugha ya Alama ya Tanzania. App hiyo inaandaliwa kwa ajili wanafunzi viziwi wa Darasa la Awali, la Kwanza na …

Go to News Site