Halmashauri Mbeya yaahidi neema kwa wawekezaji | Collector
Mwananchi
Halmashauri Mbeya yaahidi neema kwa wawekezaji
Serikali imesema itaendelea kushirikiana na kuweka mazingira rafiki kwa wawekezaji wa ndani na nje ili kuhakikisha fursa zinazojitokeza kiuchumi na kijamii zinawanufaisha vijana na Taifa kwa ujumla.