Mama, mtoto wa miezi nne wauawa, watupwa kisimani Tanga | Collector
Mwananchi
Mama, mtoto wa miezi nne wauawa, watupwa kisimani Tanga
Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga linawashikilia watuhumiwa wanane kwa tuhuma za kuhusika na matukio matatu tofauti ya uhalifu, likiwemo la mauaji ya mwanamke na mtoto wake mchanga waliotumbukizwa kisimani.