bongo5.com
Wajasiriamali mkoani Ruvuma, Wamehaidiwa kutatuliwa changamoto ya vifungashio inayowakabili pamoja na kuletewa mashine zinazoenda ili kuendana na kasi na kiwango cha udhalishaji. Hayo yamesemwa na Meneja wa SIDO Mkoa wa Ruvuma, Baraka Kandonga,wakati akijibu hoja za wajasiriamali waliokuwa wakihitimu mafunzo ya kanuni bora ya usindikaji wa vyakula, ubora wa bidhaa za vyakula, pamoja na …
Go to News Site