Mwananchi
Baadhi ya wananchi wilayani Maswa, mkoani Simiyu, wameiomba Idara ya Afya ya Halmashauri ya Wilaya hiyo kuimarisha ukaguzi wa huduma za vyakula vinavyouzwa na mama lishe katika minada mbalimbali, wakidai mazingira ya uandaaji na uuzaji wa chakula si salama kwa afya ya walaji.
Go to News Site