Collector
Tahadhari ya usafi wa vyakula minadani yasisitizwa | Collector
Tahadhari ya usafi wa vyakula minadani yasisitizwa
Mwananchi

Tahadhari ya usafi wa vyakula minadani yasisitizwa

Baadhi ya wananchi wilayani Maswa, mkoani Simiyu, wameiomba Idara ya Afya ya Halmashauri ya Wilaya hiyo kuimarisha ukaguzi wa huduma za vyakula vinavyouzwa na mama lishe katika minada mbalimbali, wakidai mazingira ya uandaaji na uuzaji wa chakula si salama kwa afya ya walaji.

Go to News Site