Collector
Profesa Lipumba akabidhi mikoba CUF, asema hana imani na Katibu Mkuu | Collector
Profesa Lipumba akabidhi mikoba CUF, asema hana imani na Katibu Mkuu
Mwananchi

Profesa Lipumba akabidhi mikoba CUF, asema hana imani na Katibu Mkuu

Hatimaye, Profesa Ibrahim Lipumba amekubali kung'olewa katika wadhifa wa uenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), huku akiacha maagizo matano kwa mwenyekiti mpya, Mirambo Yusuf, likiwemo kuhakikisha anasimamia nchi kupata Serikali ya mpito.

Go to News Site