Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba, amesema Serikali haina mpango wa kuliuza eneo la Coco Beach kwa mwekezaji yeyote, bali inalenga kuliboresha kwa manufaa ya wananchi.