Mwananchi
Watu 1,163 walioathirika na mafuriko katika Tarafa ya Moipo, wilayani Simanjiro mkoani Manyara, wamepatiwa msaada wa vyakula na mahitaji mengine muhimu wenye thamani ya Sh20 milioni, uliotolewa na kampuni ya uchimbaji madini ya Permanent Mineral Ltd.
Go to News Site