Wanawake wanavyoondolewa vikwazo vya kiuchumi Zanzibar | Collector
Mwananchi
Wanawake wanavyoondolewa vikwazo vya kiuchumi Zanzibar
Ukosefu wa mitaji, majukumu ya malezi yasiyolipwa, ukatili na unyanyasaji wa kijinsia ni miongoni mwa changamoto ambazo zinawakumba wanawake wengi na kurejesha uchumi wao nyuma.