Jambo TV
Na Joel Maduka, Geita Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, SACP Safia Jongo, kwa kushirikiana na Kaimu Kamanda wa Zimamoto na Uokoaji Mkoa huo, ASF Keneth Mwakasitu, wamefuatilia kwa karibu zoezi la uokoaji kufuatia kuporomoka kwa maduara manne katika Mgodi wa Dhahabu wa Msasa uliopo wilayani Bukombe. Akizungumza na waandishi wa habari katika eneo la […] The post MADUARA MANNE YAPOROMOKA MGODI WA MSASA, YAELEZWA HAKUNA MADHARA KWA BINADAMU appeared first on Jambo TV Online .
Go to News Site