Jambo TV
Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga limefanikiwa kuwakamata na kuwashikilia watuhumiwa nane wanaohusishwa na matukio matatu tofauti ya uhalifu yaliyotokea katika maeneo mbalimbali ya mkoa huo. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na jeshi la polisi watuhumiwa wanne wanashikiliwa kwa tuhuma za mauaji ya mwanamke mmoja pamoja na mtoto wake mchanga wa miezi minne. Tukio hilo […] The post MAMA NA MTOTO WA MIEZI 4 WAUAWA NA KUTUMBUKIZWA KISIMANI; POLISI YANASA WATUHUMIWA 4. appeared first on Jambo TV Online .
Go to News Site