HabariLeo
DAR ES SALAAM: Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) imemkaribisha rasmi Mkurugenzi Mtendaji mpya, CPA Prof. Siasa Issa Mzenzi, ambaye ameingia kwenye nafasi baada ya kustaafu kwa Mkurugenzi wa awali, CPA Pius Maneno. Prof. Sylvia Temu, Mwenyekiti wa Bodi ya NBAA, akizungumza wakati wa hafla ya kumkaribisha Prof. Mzenzi, amesema … The post ‘Karibu hapa ni nyumbani’ first appeared on HabariLeo .
Go to News Site