HabariLeo
DAR ES SALAAM: Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Saad Mtambule amesema uwekezaji uliofanywa na Kampuni ya Dough Works Ltd umesaidia kuiunga mkono serikali kwa kuwapa vijana ajira zaidi ya 800 jambo ambalo limesaidia kukua kwa uchumi katika wilaya hiyo. Hayo ameyasema leo jijini Dar es Salaam wakati wa uzinduzi wa mgahawa wake katika eneo la … The post DC Kinondoni aisifu kampuni ajira kwa vijana first appeared on HabariLeo .
Go to News Site