HabariLeo
MANYARA: WATU zaidi ya 1,163 walioathirika na mafuriko baada ya nyumba zao kusombwa na maji katika Tarafa ya Moipo Wilaya ya Simanjiro mkoani Arusha, wamepatiwa msaada wa vyakula vya Sh milioni 20 na kampuni ya kuchimba madini ya Permanet Mineral. Akipokea msaada huo Machi 29, Mkuu wa Wilaya ya Simanjiro, Fakii Lulandana ameishukuru kampuni hiyo … The post Walioathirika mafuriko wapatiwa msaada wa vyakula first appeared on HabariLeo .
Go to News Site