Collector
Tamasha ’Mtoko na Christina Shusho Pasaka’ kufanyika bure, Waziri Mkuu mgeni rasmi | Collector
Tamasha ’Mtoko na Christina Shusho Pasaka’ kufanyika bure, Waziri Mkuu mgeni rasmi
bongo5.com

Tamasha ’Mtoko na Christina Shusho Pasaka’ kufanyika bure, Waziri Mkuu mgeni rasmi

Na Janeth Jovin, Dar es Salaam Waziri Mkuu wa Tanzania, Dk. Mwigulu Nchemba Aprili 5, 2026 siku ya Jumapili ya Pasaka anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Tamasha la ‘Mtoko na Christina Shusho Pasaka’ ambalo halitakuwa na kiingilio kwa wananchi wote watakaohudhuria. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo Machi 30, 2026, Meneja …

Go to News Site