Collector
Samia: Tudhibiti ubadhirifu wa fedha za umma | Collector
Samia: Tudhibiti ubadhirifu wa fedha za umma
HabariLeo

Samia: Tudhibiti ubadhirifu wa fedha za umma

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, amesema Serikali itaendelea kusisitiza uzingatiaji wa sheria katika shughuli zake ili kudhibiti mianya ya ubadhirifu wa fedha za umma. The post Samia: Tudhibiti ubadhirifu wa fedha za umma first appeared on HabariLeo .

Go to News Site