Mwananchi
Wadau wa elimu nchini wametaka kuandaliwa kwa sheria mpya itakayosimamia elimu nchini ambayo pamoja na mambo mengine, itaimarisha uwajibikaji, usimamizi, elimu jumuishi na mifumo ya tathmini ili kuendana na mabadiliko ya sera, mitaala na mahitaji ya soko la ajira.
Go to News Site