HabariLeo
JESHI la Polisi mkoani Geita limewatahadharisha wachimbaji wadogo katika Mgodi wa Msasa wilayani Bukombe mkoani Geita kuepuka propaganda za uchochezi wa uvunjifu wa amani. Kauli ya Jeshi la Polisi inakuja kufuatia kusambaa wa taarifa za upotoshaji katika mitandao ya kijamii juu ya athari za ajali ya kuporomoka kwa maduara(mashimo) manne katika mgodi huo. Kamanda wa … The post Polisi yakemea propaganda ajali mgodi Msasa -Geita first appeared on HabariLeo .
Go to News Site