HabariLeo
SERIKALI ya Tanzania imeibuka mshindi wa tuzo ya kimataifa ya fedha za miundombinu kwa mwaka 2026, kufuatia mafanikio yake katika kupata mkopo wa masharti nafuu kwa ajili ya ujenzi wa Reli ya Kisasa ya Umeme (SGR). The post Fedha za SGR zaipa tuzo Tanzania first appeared on HabariLeo .
Go to News Site