HabariLeo
DAR ES SALAAM: Mashindano ya Tuzo za Kimataifa za Qur’an Tukufu yanatarajiwa kufikia kilele chake Jumapili, Aprili 5, huku washiriki kutoka mataifa 25 wakianza kuwasili nchini kushiriki tukio hilo kubwa la kidini linaloendelea kupata umaarufu kimataifa. Akizungumza na waandishi wa habari, Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi, Othman Kaporo, amesema maandalizi ya mashindano hayo yamekamilika, na … The post Mashindano ya Qur’an kutamatika Aprili 5 first appeared on HabariLeo .
Go to News Site