Collector
Mashindano ya Qur’an fainali Aprili 5 | Collector
Mashindano ya Qur’an  fainali Aprili 5
HabariLeo

Mashindano ya Qur’an fainali Aprili 5

MASHINDANO ya Tuzo za Kimataifa za Qur’an Tukufu yanatarajiwa kufikia kilele Aprili 5, huku washiriki kutoka mataifa 25 wakianza kuwasili nchini kushiriki tukio hilo la kidini. Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi, Othman Kaporo amesema maandalizi yamekamilika na mapokezi ya washiriki yameanza, huku ujio wao ukitarajiwa kuendelea hadi Ijumaa. The post Mashindano ya Qur’an fainali Aprili 5 first appeared on HabariLeo .

Go to News Site