Collector
Dk Mwigulu awaweka matumbo joto watendaji Iringa, atangaza ziara | Collector
Dk Mwigulu awaweka matumbo joto watendaji Iringa, atangaza ziara
Mwananchi

Dk Mwigulu awaweka matumbo joto watendaji Iringa, atangaza ziara

Waziri Mkuu wa Tanzania, Dk Mwigulu Nchemba ametangaza mpango wa kufanya ziara mkoani Iringa huku akieleza kutoridhishwa na sheria ya maegesho iliyotungwa katika maeneo ya mkoa huo, akisema inaleta mzigo kwa wananchi na inaweza kuwaumiza kiuchumi.

Go to News Site