Mwananchi
Viongozi mbalimbali wamemtaja aliyekuwa Mbunge wa Ismani na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera Bunge na Uratibu , William Lukuvi (70), kama kiongozi aliyependa kufanya kazi kwa vitendo, aliyedumisha ukaribu na wananchi na kuacha mfano wa uongozi unaopaswa kuigwa na vizazi vijavyo.
Go to News Site