LA TAIFA LEO
OFISI ya Kamishna wa Ulinzi wa Data (ODPC), imeanza uchunguzi kuhusu miwani tata ya Ray-Ban Meta AI kufuatia malalamishi yaliyowasilishwa na shirika la The Oversight Lab kuhusu uwezekano wa kutumika kwa miwani hiyo kufuatilia watu na kurekodi picha na video za faragha bila kibali nchini Kenya. Katika barua iliyoandikwa Machi 31, ODPC ilisema kuwa zaidi […]
Go to News Site