Collector
Mtatiro atoa siku nne utatuzi tozo kwa wachimbaji Shinyanga | Collector
Mtatiro atoa siku nne utatuzi tozo kwa wachimbaji Shinyanga
Mwananchi

Mtatiro atoa siku nne utatuzi tozo kwa wachimbaji Shinyanga

Malalamiko ya wachimbaji wadogo wa madini katika mgodi wa Mwakitolyo yamechochea hatua za haraka kutoka kwa Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Julius Mtatiro, ambaye ameitaka halmashauri ya wilaya hiyo kukutana na wadau hao ndani ya siku nne ili kutafuta suluhisho la mgogoro wa tozo.

Go to News Site