Mwananchi
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), Kanda ya Kaskazini, imeteketeza dawa za kulevya aina ya mirungi zenye uzito wa kilogramu 68.3, ambazo zilikuwa zikitumika kama vielelezo kwenye kesi mbalimbali katika Mahakama ya Wilaya ya Same, mkoani Kilimanjaro.
Go to News Site