Collector
Serikali yaongeza msisitizo kudhibiti usugu wa vimelea dhidi ya dawa (Uvida) | Collector
Serikali yaongeza msisitizo kudhibiti usugu wa vimelea dhidi ya dawa (Uvida)
bongo5.com

Serikali yaongeza msisitizo kudhibiti usugu wa vimelea dhidi ya dawa (Uvida)

Serikali imeongeza msisitizo wa kuimarisha juhudi za kudhibiti usugu wa vimelea vya magonjwa dhidi ya dawa (UVIDA), kwa kuhimiza wizara na taasisi kuongeza kasi ya utekelezaji wa mpango mkakati wa pamoja chini ya mwavuli wa Afya Moja (One Health Approach). Hayo yamesemwa jijini Dar es Salaam wakati wa kikao cha 32 cha Kamati ya Kitaifa …

Go to News Site