Radio Jambo
DR Congo walirejea kwa mashindano ya World Cup ya mwaka huu 2026 jana baada ya kupata ushindi wa 1-0 over Jamaica. Mara ya mwisho Congo kushiriki michuano ya World Cup ilikuwa 52 years ago. #GidiaNaGhostAsubuhi #KituoChaWakenya
Go to News Site