Mwananchi
Athari za mapigano yanayoendelea katika nchi ya magharibi imeanza kung’ata nchini Tanzania kupitia ongezeko kubwa la bei za mafuta ambazo zitatumika Aprili mwaka huu, taarifa ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) imeeleza.
Go to News Site